Jesus Vallejo: "I'm focused on Frankfurt, but I’m a realist and I have that dream. I’m dying for that day to come, to play at the Bernabéu.”
Hivi huwa hawezi leta mtafaruku kwenye timu yake ya sasa kwa kuongea hayo maneno?
"Everyone would like to be in a dressing room with the best players in the world and play for the best team, that's Madrid."
Hii hapa ni first game of the year, na always tunakuwa na tatizo na mechi ya kuanza mwaka. lakini mimi naamini Zidane yuko hapa to break all the curses.