Mim ningependa tuongoze kundi, kwasababu tu ya heshima, ila kwenye 16 bora aje yeyote ni poa tu. Ili uwe bingwa ni lazima uzishinde team bora, na uwezo wa kuzishinda tunao.
Vijana wakinisaidia kumpiga BVB nitafarijika sana, hawa watu wamekuwa wakitusumbua sana.

Aubameyang ana support ya familia nzima, hata BVB wanamsupport pia atimize ndoto yake ya kuvaa uzi mweupe, ila sidhan kama Real Madrid wanahitaji huduma yake kwasasa, sababu sioni kati ya Benzema ama Morata mmoja wao akiondoka siku za hiv karibuni. Pia ukijumlisha na vijana wanaochipukia kama akina Mariano, Borja na Sergio Diaz. Hao wote wanahitaji nafasi katika safu ya ushambulizi, na Zidane mwenyew haonekani mtu wa kutaka kusajili watu wa nje, sababu anaona kama vijana wa Castilla wanaweza kutumika kama back up.
Ni kweli Mkuu, safari hii kutakuwa na mtanange mikali sana kwenye 16 bora.
Ancelloti kuanzia pre season anasisitiza kuwa hatopenda akutane na Madrid kwnye mtoano labda fainali.