pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,289
- 3,864
Vijana wapo tayari, na sie mashabiki tupo tayar pia, [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]Leo kama kawaida ushindi muhimu...naona tuna mori kubwa sana leo
Ilikuwa penalt kwa kweli hiiRefa ana mahaba....
Amepiga mpira mpka Zidane akawa ana chekeleaModric anapiga kazi sana hapa kati aisee
Modric anapiga kazi sana hapa kati aisee