Hawaongei kwasababu salaam wamezipata. Wanajua kiama chao chaja na kiburi si maungwana. Si unakumbuka kabla Atletico's players walikuwa wanaongea kwa kujiamini, walisahau hii ni Real Madrid. Kwenye Betting jana watu wameliwa hela vibaya we acha tu.

Well said, Kiukweli mimi sijawahi kuogopa timu yoyote msimu huu kuanzia la Liga mpaka UEFA bali wasiwasi upo kwenye majeruhi yetu tu. Ila vinginevyo sioni timu ya kutufunga.
Chemistry iliyopatikana jana ilikuwa poa sana. Overall marking na utulivu upatikanapo mpira ulitusaidia sana. Endapo tungecheza kwa pressure tungevurugika.