Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,752
- Thread starter
-
- #23,241
Mkuu hawa watoto wa Croatia wamepiga mpira mwingi sana pale katikati, palikuwa hakuna kubutua Leo, kiukwel almost everything was perfect !!
Siamnin Nacho na Varane walkchofanya Leo kwa kweli, wemeni prove wrong, sababu nilikuwa na wasi wasi na comb yao!! Ila Leo wamecheza vizur sana, mpaka nikasau kuwa Nacho na Varane ndio CB kwa Leo !!Kweli leo wakroatia walilikamata duara vizuri, na kule nyuma waligawana majukumu tacles zote za Nacho na Header za Varane. For the first time ile combo leo ndio ilitulia.
[emoji23] ndo mpira ulivyommepiga mpira mwingi sana. bila kusahau penalty ya magumashi.
Huwa namuonea huruma sana cholo akiwa amefungwa na madrid.....huwa anataka kulia hvHawa always ni wateja wetu. Yaani sijui kitu gani wanatusuaga. Namuona Diego Simeone anaondoka soon, we subiri tu. Hii game inawafanya wawe hatarini hata kucheza Europa league msimu ujao.