Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #22,981
Duu!! Hili ni pigo kubwa kweli kweli, sasa hapa ni kuomba tu ili Casemiro ama Ramos arudi kabla ya game na Atletico., Laa sivyo ni matatizo kweli kweli [HASHTAG]#AnimoKroos[/HASHTAG].Kroos could be out for 3 months if Surgery becomes necessary. [MARCA]
Duu!! Hili ni pigo kubwa kweli kweli, sasa hapa ni kuomba tu ili Casemiro ama Ramos arudi kabla ya game na Atletico., Laa sivyo ni matatizo kweli kweli [HASHTAG]#AnimoKroos[/HASHTAG].
Ninaombea iwe hivyo kwa kweli!! Anahitajika sana huyu kijana, hata akianzia bench tu inatosha!!EXCLUSIVE : One of the Cadena Ser journalist just confirmed that Casemiro might get fit for the Derby.
Kwenye na Atletico tutakuwa na kazi sana kwenye kiungo, Isco yupo slow si kwenye kukaba tu hata kwenye kushambulia, akicheza Kovacic itakuwa poa zaid!! japo sio mzuri kwenye game yenye pilika nyingi kama hii na Atletic.Kuna watu wanaongea kwamba kwenye duara wacheze Casemiro, Modric na Isco, lakini kwa maoni yangu namuona Isco ni slow sana hasa linapokuja swala la defense, kwahiyo game ya Atleti bora nafasi ya kuanza apewe Kovacic. [HASHTAG]#AnimoKroos[/HASHTAG]
Kwenye na Atletico tutakuwa na kazi sana kwenye kiungo, Isco yupo slow si kwenye kukaba tu hata kwenye kushambulia, akicheza Kovacic itakuwa poa zaid!! japo sio mzuri kwenye game yenye pilika nyingi kama hii na Atletic.