Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #22,601
Ninaomba sana huyu Pacheco asijetufanyia kama ya mwenzie Adan msimu uliopita, sababu hawa watu waliotoka kwetu tukikutana nao basi huwa wanakaza utadhani fainali!!
Sawa ila Varane kwa kweli kuna makosa huwa ana yafanya ya kitoto sana, tatizo tena Ramos naye msimu huu haja kaa vzuri , i hope kesho dogo Varane atatulia kwa kweliHawajafungwa nyumbani kwao tangu msimu uanze na sisi ndio tunakwenda huko kesho. Kazi ipo.