Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #22,141
Real Madrid Starting XI: Navas, Carvajal, Pepe, Varane, Marcelo, Kroos, Kovacic, Isco, Bale, Ronaldo & Benzema.
Mnaonaje hii line up wadau?
Zidane na yeye, khaa, huyo Marcelo na Benzema si wametoka majeruhi juzi? Ni kikosi kizur kama wote watakuwa fit 100%, ingefaa wajamaa waingie kipnd cha pili!!Real Madrid Starting XI: Navas, Carvajal, Pepe, Varane, Marcelo, Kroos, Kovacic, Isco, Bale, Ronaldo & Benzema.
Mnaonaje hii line up wadau?
Hukuna mbadala wake kwasasa, Nacho na mwenyew ni wale wale, afadhali huyo Verane,Sina imani kabisa na Varane. Jamaa amechuja vibaya.
Hukuna mbadala wake kwasasa, Nacho na mwenyew ni wale wale, afadhali huyo Verane,
Sina imani kabisa na Varane. Jamaa amechuja vibaya.
Hukuna mbadala wake kwasasa, Nacho na mwenyew ni wale wale, afadhali huyo Verane,
Zidane bado anambeba mfaransa mwenzie, itafika wakati mwenyew atamchoka!!Hivi huyu benzema kwa nini anakuwa anaanza wakat ni wazi kuwa uwezo wake ni tia maji tia maji
Hawa ex-player wa madrid wana tabia wakikutana na madrid wanakaza sana...sasa huyu Adan ajifanye leo anatafuta namba timu ya taifa.....