Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #22,121
Marcelo na Benzema wote waanzie bench, wapewe dk kadhaa tu kwa ajili ya kupasha misuli mpaka wawe fit 100%. Morata na Danilo/Nacho wanaweza kuziba nafasi zao. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]Marcelo is part of 19 man squad for Saturday's match against Betis. He will most probably start on bench.
Marcelo na Benzema wote waanzie bench, wapewe dk kadhaa tu kwa ajili ya kupasha misuli mpaka wawe fit 100%. Morata na Danilo/Nacho wanaweza kuziba nafasi zao. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Mwenyew ningependelea hiki kikosi man, ila ngoja tunasubiri tuone Zizou atakuja na nin!!Ningekuwa mimi ndio Zizou ningeanza na, Navas; Carvajal, Danilo, Varane, Pepe; Kroos, Isco, Asensio; Bale, Morata, Cristiano.