Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kuna kila sababu Zizou kuangalia tena game plan yake, itabid atafute njia sasa tuwe tunapitia kati kati, pembeni pameshashindikana!¡ Kazi ipo


One commentator was saying Zidane is flop. I don't wanna be extremist, may be things will change sooner or later, sema tuna safari ndefu.
 
Imeniuma sana kwa kweli yaan sare ya tatu mfululizo kwny ligi na tutadrop mpk nafasi ya tatu,daah cjui kuna gundu gan tangu wachezaji wetu muhimu waanze kuumia.
 
Real Madrid's 10 games so far this season.

- 5 wins.
- 5 draws.
 
Yaani mpaka kipenga cha mwisho kwa mechi ya saa tatu tutakuwa 3rd place.
 
Wakiwa na mpira kila mtu anakimbilia mbele, inapigwa cross ikiokolewa wanaanza tena. Wanashindwa building up
Ninadhan foward yetu, pia na game plan ya Zizou ni kutokea pembeni, ndio maana hata James na Isco hawatumiki ipasavyo, sasa hii la Leo litampa mwanga wa ni nin cha kufanya, laa sivyo atajikuta yupo nje!!
 
Man, draw yenyewe na Eibar uwanja wa nyumbani.
Inauma sana hii. Game plan ya zidane imeshindwa zaidi ni kutegemea uwezo wa wachezaji kwa siku husika. Tuna tatizo la Midfielder kutokutengeneza penetration pass na utulivu haupo kwa forward wanapopata nafasi.
 
Inauma sana hii. Game plan ya zidane imeshindwa zaidi ni kutegemea uwezo wa wachezaji kwa siku husika. Tuna tatizo la Midfielder kutokutengeneza penetration pass na utulivu haupo kwa forward wanapopata nafasi.
MKuu ni ngumu sana kwa mid wetu kutengeneza penetration pass kutokana na foward wetu wanavyojipanga, sasa wanalazimika kupiga pass pembeni ili full back wetu wakisaidiana na mchezaji aliyepo kwenye eneo husika ipigwe cross.
Sasa tukikutana na team ambayo inaziba kwenye njia ndio matokeo yake yanakuwa haya.
Mimi ninachaoona ni Zizou kuamua kabisa Ni atakuwa mtu wa mwisho, na wengine wajipange vp kwa ajili ya build up ya goli, sababu wakati tuna mpira kila mmoja anakimbilia mbele, sasa kama wote wapo mbele hiyo build up itafanyika vp?, na hizo penetration pass atapiga nani? Zizou ana hii int break kujitathimini upya!!
 
Pia nimeliona hilo. Nimereplay mechi hii ya Eibar na ya Las Palmas tunatatizo la kiufundi kwenye Third Part ya Pitch. Forward haijiposition sehemu sahihi kwa wakati sahihi.
 
Ndio hivyo man, labda tikupigwa gap la point 15 ndio Zizou atapata akili. Zizou anakwmbia bado ni October, so ligi bado ni mbichi!!
ZZ anasema benz na varane walitolewa sababu ya injury, mbona kama list ya injuries inakua kubwa James, Casemiro, Marcelo, Modric, Varane, and Benz still kuna international break you never know but kidogo inatia hofu
 
ZZ anasema benz na varane walitolewa sababu ya injury, mbona kama list ya injuries inakua kubwa James, Casemiro, Marcelo, Modric, Varane, and Benz still kuna international break you never know but kidogo inatia hofu
Sure man, List ya injury imekuwa kubwa kimtindo, ila hiyo hatuwezi kuifanya kama excuse, cha muhimu ni Zizou kupanga mambo yake sawa, kama vp watacheza hata madogo wa Castilla!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…