Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #21,961
Noma sana kile kichwa, kwanza jinsi alivyokipiga tu!!POST !!! Kovacic with a long ball toward Bale, Bale with a brilliant header into the post
Haya mambo ya kuanguka anguka ovyo Morata ameyapata wapi? mbona na yeye anakuja na mapya sasa!!
Tatizo Zidane hana plan B always wanatafuta goal kwa cross tu