Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #21,021
Navas mbona kama kuchukua muda mrefu sana kupona!! au aliumia tena wakati anapambana kurudi? sababu wenzie karibia wote ndani ya week mbili watakuwa wapo fit kabisa. Physio wa club wamwangalie sana huyu mtu, anahitajika sana kwa kweli!! Cassila sio wakuamini kihivyo, kuna muda anapataga wenge, maana yake tusipokuwa na ulinzi wa uhakika tunaweza kulia mda wowote!!MARCA | Kiko will probably start vs BVB. Keylor is targeting 24th September as his return but could be forced to wait until October.
Ninaona Adidas wanataka wakipoteza fursa yao muhimu, ninadhan wenyew wanajua deal na Real Madrid inavyonyemelewa na wapinzan wao wakubwa, waliteleza kidogo tu watu wanachukua nafasi.[HASHTAG]#Rumours[/HASHTAG]: If Adidas did not offer Madrid more money than any other club then We are about to see Nike working with Real Madrid and the Catalans at the same time.
Navas mbona kama kuchukua muda mrefu sana kupona!! au aliumia tena wakati anapambana kurudi? sababu wenzie karibia wote ndani ya week mbili watakuwa wapo fit kabisa. Physio wa club wamwangalie sana huyu mtu, anahitajika sana kwa kweli!! Cassila sio wakuamini kihivyo, kuna muda anapataga wenge, maana yake tusipokuwa na ulinzi wa uhakika tunaweza kulia mda wowote!!
Kweli aisee kiko kuna mda anjisahau na kufanya makosa ya kijinga ambayo yataweza kuigharimu timu endapo tutakutana na threats kama celta Vigo walivyopambanaNavas mbona kama kuchukua muda mrefu sana kupona!! au aliumia tena wakati anapambana kurudi? sababu wenzie karibia wote ndani ya week mbili watakuwa wapo fit kabisa. Physio wa club wamwangalie sana huyu mtu, anahitajika sana kwa kweli!! Cassila sio wakuamini kihivyo, kuna muda anapataga wenge, maana yake tusipokuwa na ulinzi wa uhakika tunaweza kulia mda wowote!!
Yule ni wa kufundwa haswa, amekuwa golini kuanzia pre season, sasa nilitegemea kuwa vijimakosal vidogo vidogo havitakuwepo ila baso ile game ya Celta alikuwa bado anakawenge, hope atajitahid game ya jmosi sababu si ajabu akadaka mpaka game ya Dortmund.Kweli aisee kiko kuna mda anjisahau na kufanya makosa ya kijinga ambayo yataweza kuigharimu timu endapo tutakutana na threats kama celta Vigo walivyopambana
Ninakumbuka sana Mkuu, kuwa jamaa alifanyiwa surgery, ila ilitegewa kuwa angekua fit la liga itakapokuwa imeanza, sasa sikusikia taarifa zozote kuwa labda alipata setback, ninachoona ni kuwa tarehe zinapelekwa tu mbele!!
Kama unakumbuka Navas alifanyiwa surgery ya kimzizi cha nyuma hiki cha mguu wa kushoto mwezi June. Yaani hata Msimu uliopita alimaliza kiubishi tu. Casilla ashacheza few matches nafikiri wenge lishapungua. Na deffence yetu naiamini. Yaani msimu huu unaambiwa hakuna kupoteza game hata moja.