No man, tunasema kwamba Zidane aengekuwa anachagua game tough ndio ampange Casemiro, kwasababu hawezi kucheza all season long bila kuchoka au kuumia, na anapokea kadi kuliko mchezaji yoyote kwenye squad kwa sasa. Mi nina wasiwasi tusije tukamkosa pale tunapomuhitaji kwenye mechi muhimu.