Kwanini swala la James watu mnalichukulia personal sana? He's a player like others, sasa niambie nani hakustaili kucheza, mbona wengine wako kwenye bench kule hawatajwi majina?
Youngsters walikuwa confident and energetic. Goli walilofungwa halikuwa la proper chance, wamejaribu kufunga kutoka position tofauti lakini haikuwa zali, lakini ni good goal overall. Expecting a better second half too.