Leo kazi ipo kadri muda unavyokaribia na mapigo ya moyo yanazidi kukatisha tamaa, wale jamaa hawaeleweki kabisa hasa kale kababu kao kalikobackdate umri ili kajiite baby kana sifa sana utadhani timu ya baba yake.
Hongera Mkuu
mh! tumetoa droo mzee kwa hiyo ubingwa wa ligi sijui
Hili kombe nina hakika Barca atampiga Atlet
AKHSANTE LEVANTE kwa kunisimamishia haka kajamaa kanaitwa ATLETICO MADRID 2-0,sasa mwaka huu ni mwendo wa ndoo tatu,UCL kichwani,copa del rey mkono wa kushoto na LA LIGA mkono wa kulia!msituchukie jamani,ndo uwezo wetu huo!
tunamech mkononi no worr
kiporo mwenzie friji...
Ona sasa bwabwa limechacha...ndondo limechacha