Real estate joint venture

wingman7

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
346
76
Habar wanaJF, natafuta mtu au kampuni ambayo ninaweza ingia nayo ubia wa jenga residential building au commercial building nina plot maeneo ya Kariakoo kwa maelezo zaidi inbox me.
 
Una eneo lenye ukubwa gani? Na umiliki wako ukoje kwenye eneo husika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom