Old Skuli
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 690
- 178
The most powerful 5.7' monster is about to hit the premiere.
Kesho ndo kesho katika IFA Berlin 2014 ambapo Samsung Galaxy Note 4 pamoja na Galaxy Gear S(SOLO) zitakuwa revealed na Samsung Mobile.
Hizi ni baadhi ya specs ambazo zinategemewa kuwepo kwenye hiyo Note 4.
Karibu tujadili mtazamo wako.

- Display ya 5.7' QHD 2560 x 1440 SAMOLED ikiwa na 515ppi
- Processor ya Quad-core Snapdragon 805(hatari hii) clocked at 2.6GHz pamoja na GPU ya Adreno 420
- RAM 4GB
- Camera yake ni 16-Mega Pixels
Karibu tujadili mtazamo wako.