Read and Think of it Very Deep!

May you explain thered in extra? Please, help me to understand this .....!

Thanx for a gud Question. It means pipo who are very strong in heart tends to be very weak in mind and body. The power of the mind can and does affect everything in the body and heart action. So the mental action controls
When the mental action is weak, affects also both strong body and heart actions and you can be easily affected. but when this mind action is both deep and strong, the results will be so clearly in evidence that any one can detect them
 
Bila shaka, ila nawasikitikia zaidi WAO kuliko mimi kufa moyo.
Jamani sio lazima kila mtu akubaliane na unachosema au unachoamini ndicho!!Alafu wala sijaona wakibisha..kuna point wameziainisha kuhusu post yako ila we hulioni hilo kwasababu ulitegemea kila mtu akwambie 'BIG UP' tu mtu akitoa mawazo unachukulia kaponda!Nwyz binafsi hua siwezi kabisa kumwambia mtu nahitaji msaada wake.Kitu kidogo tu naweza kufikiria siku nzima niombe au nisiombe!Nianze vipi n.k!
 
Jamani sio lazima kila mtu akubaliane na unachosema au unachoamini ndicho!!Alafu wala sijaona wakibisha..kuna point wameziainisha kuhusu post yako ila we hulioni hilo kwasababu ulitegemea kila mtu akwambie 'BIG UP' tu mtu akitoa mawazo unachukulia kaponda!Nwyz binafsi hua siwezi kabisa kumwambia mtu nahitaji msaada wake.Kitu kidogo tu naweza kufikiria siku nzima niombe au nisiombe!Nianze vipi n.k!

Mimi ninanpo-post kitu hapa siangalii umesema Thumbs Up or Down, yote ni matokeo. Lakin mtu ukibisha tu bila kutoa sababu tutamuelewaje?? Isitoshe wengine badala ya kuijadili post ananishambulia mimi, what is that now???
Hebu nipe hizo point zilizoainishwa na watu ambazo mimi sijaziona? Tuandikie wino! Halafu then mimi wapi nilikataa point ya mtu??
Tuende hoja kwa hoja
 
mara nyingi unamsaidia mtu lakini na wewe mwenyewe unahitaji msaada , na mara nyingi tunatumia neno nakupenda, samahani wakati halitoki moyoni, tunakosea sana inabidi tujirekebishe,
tofauti na wenzetu watu weupe wakisema i love you, ni kutoka moyoni


we nawe kwa uwongo hizo story midomoni kwa watu tu, hakuna cha mweupe wala mweusi, cheaters wapo kotekote.....



 
Upi sio ukweli?? Then tuandikie ukweli basi!
Kama nilivyosema..humsomi mtu ukaelewa unarukia kusema umejadiliwa!!Mshkaji anaongelea hapo kwenye ugumu wa kumwambia mtu samahani..unampenda and what not!Kwamba kama mtu hamaanishi ni bora akae kimya kuliko kudanganya!Sasa sijui ulipojadiliwa ni wapi!I'm out!
 
Kama nilivyosema..humsomi mtu ukaelewa unarukia kusema umejadiliwa!!Mshkaji anaongelea hapo kwenye ugumu wa kumwambia mtu samahani..unampenda and what not!Kwamba kama mtu hamaanishi ni bora akae kimya kuliko kudanganya!Sasa sijui ulipojadiliwa ni wapi! I'm out!

Daaah! Heheh . . . Ahsante kwa kuniona "NARUKIA"
Nimegundua sio wote humu JF ni werevu na wavumilivu. Wengine mpaka akudhihaki ndio anatoa ufafanuzi. Nashukuru hata hivyo wapo wengi walionielewa. Take care
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom