Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 12,113 Reaction score 37,564 Jan 20, 2025 #41 Tafuta kazi ya kufanya jijenge kiuchumi kwanza warembo utawapanga wa kutosha.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jan 20, 2025 #42 Intelligent businessman said: Hannah, Shadow7, teacher Nifah hii itakuwa hadithi nzuri kwa ajili ya dating, ama nita haribu?? Click to expand... Ngoja nitulie kwanza mdogo wangu niisome.
Intelligent businessman said: Hannah, Shadow7, teacher Nifah hii itakuwa hadithi nzuri kwa ajili ya dating, ama nita haribu?? Click to expand... Ngoja nitulie kwanza mdogo wangu niisome.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,269 Jan 20, 2025 #43 Intelligent businessman said: dah japo hii ni diss, ila Umesha blunder 😄. ila kunywa pombe ni sifa??, basi ukoo wetu Umesha feli. Maana hakuna anaye kunywa mkuu. Click to expand... Mko vizuri. Hongereni sana, nakupa ephen_ huyo anakufaa ni mali safi.
Intelligent businessman said: dah japo hii ni diss, ila Umesha blunder 😄. ila kunywa pombe ni sifa??, basi ukoo wetu Umesha feli. Maana hakuna anaye kunywa mkuu. Click to expand... Mko vizuri. Hongereni sana, nakupa ephen_ huyo anakufaa ni mali safi.
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Jan 20, 2025 #44 Chaliifrancisco said: Mko vizuri. Hongereni sana, nakupa ephen_ huyo anakufaa ni mali safi. Click to expand... Mimi nakutaka wewe
Chaliifrancisco said: Mko vizuri. Hongereni sana, nakupa ephen_ huyo anakufaa ni mali safi. Click to expand... Mimi nakutaka wewe
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,269 Jan 20, 2025 #45 ephen_ said: Mimi nakutaka wewe Click to expand... Mimi hutaniweza asee nina matukio mengi sana yakutisha. Japo sio ya wanawake.
ephen_ said: Mimi nakutaka wewe Click to expand... Mimi hutaniweza asee nina matukio mengi sana yakutisha. Japo sio ya wanawake.
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Jan 20, 2025 #46 Chaliifrancisco said: Mimi hutaniweza asee nina matukio mengi sana yakutisha. Japo sio ya wanawake. Click to expand... Hiyo ni sifa ya wanawake kukataa
Chaliifrancisco said: Mimi hutaniweza asee nina matukio mengi sana yakutisha. Japo sio ya wanawake. Click to expand... Hiyo ni sifa ya wanawake kukataa
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,269 Jan 20, 2025 #47 ephen_ said: Hiyo ni sifa ya wanawake kukataa Click to expand... Eeehh mimi niache na wahuni wenzangu. Kulala sero kawaida tu
ephen_ said: Hiyo ni sifa ya wanawake kukataa Click to expand... Eeehh mimi niache na wahuni wenzangu. Kulala sero kawaida tu
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Jan 20, 2025 #48 Chaliifrancisco said: Eeehh mimi niache na wahuni wenzangu. Kulala sero kawaida tu Click to expand... Huo ni ujinga sio ujanja
Chaliifrancisco said: Eeehh mimi niache na wahuni wenzangu. Kulala sero kawaida tu Click to expand... Huo ni ujinga sio ujanja
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,403 Jan 20, 2025 #49 Intelligent businessman said: Madame B, Hannah nita toboa au nika jifunze tena?? Click to expand... Utatoboa, hapo uhakika.
Intelligent businessman said: Madame B, Hannah nita toboa au nika jifunze tena?? Click to expand... Utatoboa, hapo uhakika.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,490 Reaction score 96,959 Jan 20, 2025 Thread starter #50 Red black said: Tafuta kazi ya kufanya jijenge kiuchumi kwanza warembo utawapanga wa kutosha. Click to expand... I will never use money, to seek validation from someone.
Red black said: Tafuta kazi ya kufanya jijenge kiuchumi kwanza warembo utawapanga wa kutosha. Click to expand... I will never use money, to seek validation from someone.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,490 Reaction score 96,959 Jan 20, 2025 Thread starter #51 Hannah said: Utatoboa, hapo uhakika. Click to expand... sure??, au ni improve kidogo??
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,490 Reaction score 96,959 Jan 20, 2025 Thread starter #52 Chaliifrancisco said: Mko vizuri. Hongereni sana, nakupa ephen_ huyo anakufaa ni mali safi. Click to expand... Kwanza sija wahi kuwa na interest nayo, ila dingi ali kuwa ni special aisee. Crate kuli kata ili kuwa kawaida, hapo uki zingua una ambiwa blood fool😆
Chaliifrancisco said: Mko vizuri. Hongereni sana, nakupa ephen_ huyo anakufaa ni mali safi. Click to expand... Kwanza sija wahi kuwa na interest nayo, ila dingi ali kuwa ni special aisee. Crate kuli kata ili kuwa kawaida, hapo uki zingua una ambiwa blood fool😆
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,352 Reaction score 9,778 Jan 20, 2025 #53 Kwenye vigezo hujazungumzia chochote kinachohusiana na pesa. Infact watakimbia!!
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,403 Jan 20, 2025 #54 Intelligent businessman said: sure??, au ni improve kidogo?? Click to expand... Usiongeze kitu usipunguze kitu
Intelligent businessman said: sure??, au ni improve kidogo?? Click to expand... Usiongeze kitu usipunguze kitu
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,269 Jan 20, 2025 #55 ephen_ said: Huo ni ujinga sio ujanja Click to expand... Kuna mahali nimesema ni ujanja? Ni harakati za maisha tu
ephen_ said: Huo ni ujinga sio ujanja Click to expand... Kuna mahali nimesema ni ujanja? Ni harakati za maisha tu
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,490 Reaction score 96,959 Jan 20, 2025 Thread starter #56 Ibn Unuq said: Kwenye vigezo hujazungumzia chochote kinachohusiana na pesa. Infact watakimbia!! Click to expand... hahaha, Wacha wakimbie mimi na shape mpini wangu tu. halafu pesa za nini tena 😃, kumpa yeye au kula Mimi??
Ibn Unuq said: Kwenye vigezo hujazungumzia chochote kinachohusiana na pesa. Infact watakimbia!! Click to expand... hahaha, Wacha wakimbie mimi na shape mpini wangu tu. halafu pesa za nini tena 😃, kumpa yeye au kula Mimi??
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,490 Reaction score 96,959 Jan 20, 2025 Thread starter #57 Chaliifrancisco said: Eeehh mimi niache na wahuni wenzangu. Kulala sero kawaida tu Click to expand... hahaha, ume nikumbusha msemo wa panga mkononi, roho begani
Chaliifrancisco said: Eeehh mimi niache na wahuni wenzangu. Kulala sero kawaida tu Click to expand... hahaha, ume nikumbusha msemo wa panga mkononi, roho begani
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,269 Jan 20, 2025 #58 Intelligent businessman said: Kwanza sija wahi kuwa na interest nayo, ila dingi ali kuwa ni special aisee. Crate kuli kata ili kuwa kawaida, hapo uki zingua una ambiwa blood fool😆 Click to expand... Sasa mbona umesema ukoo wenu hamna anaetumia? Wewe inawezekana uliichukia pombe kutokana na matukio ya mzee wako akilewa.
Intelligent businessman said: Kwanza sija wahi kuwa na interest nayo, ila dingi ali kuwa ni special aisee. Crate kuli kata ili kuwa kawaida, hapo uki zingua una ambiwa blood fool😆 Click to expand... Sasa mbona umesema ukoo wenu hamna anaetumia? Wewe inawezekana uliichukia pombe kutokana na matukio ya mzee wako akilewa.
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,352 Reaction score 9,778 Jan 20, 2025 #59 Intelligent businessman said: hahaha, Wacha wakimbie mimi na shape mpini wangu tu. halafu pesa za nini tena 😃, kumpa yeye au kula Mimi?? Click to expand... Infact, Hauwezi kua serious. 😂!
Intelligent businessman said: hahaha, Wacha wakimbie mimi na shape mpini wangu tu. halafu pesa za nini tena 😃, kumpa yeye au kula Mimi?? Click to expand... Infact, Hauwezi kua serious. 😂!
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,490 Reaction score 96,959 Jan 20, 2025 Thread starter #60 Chaliifrancisco said: Sasa mbona umesema ukoo wenu hamna anaetumia? Wewe inawezekana uliichukia pombe kutokana na matukio ya mzee wako akilewa. Click to expand... upande wa mama, upande wa mzee. halafu sija wahi ichukia, ni vile siko interested nayo. nakumbuka Mwa Mwaka Jana, bro ali weka 400k nipigie funda 1 tu. Nika sema sinywi.
Chaliifrancisco said: Sasa mbona umesema ukoo wenu hamna anaetumia? Wewe inawezekana uliichukia pombe kutokana na matukio ya mzee wako akilewa. Click to expand... upande wa mama, upande wa mzee. halafu sija wahi ichukia, ni vile siko interested nayo. nakumbuka Mwa Mwaka Jana, bro ali weka 400k nipigie funda 1 tu. Nika sema sinywi.