REA Mnatisha!

REA Mnatisha!

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
FB_IMG_1537884999664.jpg
 
This is not cost effective; huyo mama anahitaji SOLAR ya taa 4 tuu hapo atapata mwanga bila kulipia chochote. Hapa ni usumbufu wa watoto kuanza kuchangishana pesa ya LUKU badala ya chakula / mahitaji mengine
Tariff 4 Tanesco wanachaji 9,500/- unapata 75 units za umeme kwa mwezi.Hiyo familia inaweza weka pump ndogo ya elfu 80 na kumwagilia matuta ya mbogamboga kujiongezea kipato.Unataka nini zaidi ya hapo?
 
Kwa kutazama tu haraka haraka hio picha sio Tanzania na kinachowekwa hapo hakihusiani na REA
 
Back
Top Bottom