REA IKO WAPI SASA

REA IKO WAPI SASA

Joined
Nov 11, 2015
Posts
43
Reaction score
1
Mimi ni fundi umeme wa majumbani .kama kuna kijiji umeme unaingia na mafundi wanahitajika naomba taarifa
 
Mimi ni fundi umeme wa majumbani .kama kuna kijiji umeme unaingia na mafundi wanahitajika naomba taarifa

Bro fundi sa Unaomba kazi kwa mwenyekiti wa kijiji au REA?.dah nchi ina mitambo hii sijapata kuona
 
REA mi wakala wa umeme vijijini .si kwamba naenda kuomba kazi Kwa mwenyekiti. Mafundi wanalijua hilo
 
Back
Top Bottom