Re: Wakati wabunge wetu ni form 7, jamaa ame-enrol degree ya 30

Manager

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
531
73
Many students can't wait to be done with school, but not Michael Nicholson. The 71-year-old Michigan man has earned 29 college degrees and is now pursuing his 30th:

michael-nicholson-college-degrees.jpg

Mr Michael Nicholson
"I just stayed in school and took menial jobs to pay for the education and just made a point of getting more degrees and eventually I retired so that I could go full-time to school," Nicholson told ABCNews.com.
"It's stimulation to go to the class, look at the material that's required and meet the teacher and students. It makes life interesting for me," he said. "Otherwise, things would be pretty dull."
Nicholson has one bachelor's degree, two associate's degrees, 22 master's degrees, three specialist degrees and one doctoral degree.
http:www.neatorama.com/2012/06/20/man-pursues-his-30th-college-degree

Michigan Man Has 29 College Degrees and Isn't Stopping - ABC News

My Take
: Mimi namkubali huyu jamaa (Mr Nicholson), hatuwezi kubaki na elimu ya S-7 katika generation hii. Education is not the end to means by itself, but it can be a critical tool as we look towards 2015 election!

wacha kudharau utu wako..hawa wazungu ni watu wanaopenda kuvunja rekodi ya kila kitu..mimi nakuhakikishia huyu jamaaa ukimuliza Kilimanjaro iko wapi basi atakwambia India.....
ni vyeti tu ...lakini kichwani hana kitu..sasa mulize CV yake basi ....hata kazi ya kuuza koni hana
 
Sidhani kama atakuwa mbumbumbu kwa siasa ya nchi yake hata kama hajui Kilimanjaro iko wapi
 
Weka na wewe post yako--I had a meaning for that, If you cannot conceive, then this thread is not for you. Sorry

Umeulizwa unamaanisha nini( sema unachomaanisha) na sio kuanza kutokwa mapovu tu. Siwezi weka post ambayo watu hawaelewi ina maana gani kama hii na ndio maana haina mashiko.
 
sa form seven ndo nin???? hayo madegree yanahusiana nin na ubunge???? uongozi ni hekima na busara...FORM 7 kweli hawastahili bungeni coz hawapo duniani
 
Weka na wewe post yako--I had a meaning for that, If you cannot conceive, then this thread is not for you. Sorry

Acha kubwabwaja bwana mdogo FORM 7 ndo mdudu gani huyo??? kwa elimu ya bongo form 7 haipo!!! kajipange upya
 
Tunatumia lugha ya utani, maana ni jukwaa la utani, lakini nadhani wenzako wote wameelewa kasoro wewe. Pole sana
 
Jukwaa tukufu la Elimu limekua jukwaa la utani tokea lini? Acha kuchezea hili jukwaa bwana mdogo. . .
 
Zote hizo ili iweje kha hapa degree moja basiiiii

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jukwaa tukufu la Elimu limekua jukwaa la utani tokea lini? Acha kuchezea hili jukwaa bwana mdogo. . .

Unatisha hata kwa avatar yako. Nimeacha utani kuanzia leo. Ila message yangu ni kwamba tujitahidi tupate elimu walau first degree. Hii itasaidia kuukabili mustakabli wa taifa hili. Nawasilisha.
 
wacha kudharau utu wako..hawa wazungu ni watu wanaopenda kuvunja rekodi ya kila kitu..mimi nakuhakikishia huyu jamaaa ukimuliza Kilimanjaro iko wapi basi atakwambia India.....
ni vyeti tu ...lakini kichwani hana kitu..sasa mulize CV yake basi ....hata kazi ya kuuza koni hana

kujua kilimanjaro iko wapi ndo kuelimika?
 
Back
Top Bottom