Ni matumaini yangu mko poa wana jf.
Napenda kupata ufafanuzi juu ya uamuzi wa sumatra kutaka usafiri wa noar usitishwe.hii ni kwa sababu vijana wengi walikuwa wamepata ajira pia watu wengi wakuwa wakisafiria ktk maeneo mbalimbali ya nchi.naomba lijadiliwe kwani leo mkurugenzi wa sumatra anafanya kikao na maafisa wake wa biasha mjini moro