Re: Ushauri Ninunue godoro la kampuni Gani

newazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
935
Reaction score
948
Nimenunua godoro si zaidi ya miezi minne iliyopita la banco , lile la size ya mwisho. Niliamini Super banco ni zuri na wametoa guarantee ya mwaka. Lakini, sasa hivi ni chanzo cha kuamka shingo au mwili unauma kwani na maumivu mengine ya mwili kwa ujumla yaani ni kero tu, godoro linabonyea kwa ndani...

Naomba uzoefu wa magodoro mengine, au ni spring mattress tu??
 
Comfy, lenye spring. Kama mkwanja unatoshea nunua orthopedic (lile gumu kabisa). Pole mwaya.
 

Mimi pia napata shida kama wewe,now nina la Spring la Dodoma ni laki 3 hivi,bt kuna kipindi nakuwa naumwa kuna kipindi nakuwa safi,so nataka sasa niwe na VITA FORM inchi 8 au 10.hapo ndo mwisho wangu wa uchaguzi
 
Nakushauri ulale chini tu kwenye sakafu.
 
Hivi wewe unajua akili zako za asbh, mchana, jioni na usiku ni tofauti sana lol!
Nakushauri ulale chini tu kwenye sakafu,utalalaje kwenye godoro mtu mzima na ela zako?
 
Baby Nasema upo? Namshauri jamaa si ameuomba ushauri?nasi tunampa ushauri,atafute mkeka kama anaona noma kulala kwenye sakafu,mkeka ef 5,ela zinazobaki akagigide masanga

Hivi wewe unajua akili zako za asbh, mchana, jioni na usiku ni tofauti sana lol!
 
Last edited by a moderator:
Unaona? Kama na akili zako za usiku ndio ziko hivi, basi kazi ipo! Mi niko poa kabisa!

Baby Nasema upo? Namshauri jamaa si ameuomba ushauri?nasi tunampa ushauri,atafute mkeka kama anaona noma kulala kwenye sakafu,mkeka ef 5,ela zinazobaki akagigide masanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…