kweli akili ni nywele,...... badala ya kusema mshahara wa kwanza anunue vocha mojamoja za mitandao tofautitofauti na awe akiziweka katikati ya mada yoyote mpaka ziishe, wale wanaosoma na kufuatilia mada za JF watafaidi kila mtu kwa kadiri ya anavyojituma kuitumia JF. :dance: