Wapi wewe mfanyakazi wa sekretarieti unajifanya umepata kazi.Sema unataka uwaosheee nenda Fb huko kawadanganye wenzio sio hapa
Wapendwa Sina jinsi ya kuielezea furaha yangu. Nimekuwa member wa JF kwa takriban mwaka sasa. Mie huwa si msomaji wa magazeti, na taarifa nyingi muhmu huzipata kupitia hapa JF. Kwa mara ya kwanza hii forum imenisaidia na nimeyaona matunda yake.
Nimefanikiwa kupata kazi, amabayo kwa mara ya kwanza niliiona hapa JF, katika forum ya "Nafasi za Kazi na Tenda". Mwanzoni sikuamini kama nami naweza pata kazi serikalini bila kuwa na mtu wa kunishika mkono, lakini leo imewezekana. Ni kweli kuna uwazi na ukweli na usawa kupitia Sekretariatiya Ajira na Utumishi. Tuliitwa watu saba na nafasi ilikuwa moja tuu.
Nimepata,
Namshukuru Mungu na WanaJF, Tuendelee kulijenga Taifa letu. Big up JF, LIVE LONGER.
Kwa wengine, Msikate tamaa, endeleeni kuomba kazi bila kuchoka, ipo siku mtafanikiwa, na tusipuuze kazi, na tufanye kazi kwa bidii na kutumia nafasi zetu kwa manufaa ya umma.
Asanteni.

Hongera sana.Usisite kutoa uzoefu wako kwa namna ulivyopitia mchakato mzima kuanzia kuandika barua,usaili,mpaka kuitwa kazini.Hii ni kwa manufaa ya wengine ambao badok wapo kwenye mchakato...
PIGA KAZI SASA,KUMBUKA CHEZEA MSHAHARA NA SIO KAZI.
Hongera mwanafamili, kwa kupata kazi, sie tuliobaki aluta continue mpaka kielewe, by the way umeajiriwa nafasi gani na ofisi ya serikali labda one day we can make a physical visit and say hello kama famili wa JF. Gud luck with your new job and be a good public servant who is not corrupt.
hongera zako mkuu, sasa ishukuru JF kwa kuichangia fedha ili iweze kujiendesha, kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi. Mimi nimeshaichangia siku nyingi japo ID yangu haioneshi kuwa mimi ni premium member (nimependa tu!)