Re: Sheikh Farid: Nilikamatwa na watu wa usalama

Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,488
3,468
Ni obvious kuwa jamaa ni mchochezi. kama kukamatwa angekamatwa kitambo lakini inaoneka kuna wanaomkingia kifua.
Issue hapa hakuna chochote ila wanataka aidha walazimishe katiba ya muungano kama waitakavyo[ as if sisi siyo wadau wakuu]
au ufe. ndani ya wanaomdhamini wamo toka pande zote mbili CUF na CCM.
Kwa hali hii sidhani kama kutakuwa na muafaka kwani sisi huku bara tuna issue zetu za muungano zikiwemo wazanzibari kumiliki ardhi huku kwetu, na haki nyingine kama za watanganyika wakati kule kwao ni wabaguzi kwani hata ukitaka ku-invest kwao watakuzungusha hadi ukate tamaa lakini akija mhindi, mzungu na mwarabu anapata vibali kwa urahisi tu.
Ndugu zetu wanasahau kuwa 'IT TAKES TWO TO TANGO'
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom