Re:-nisaidieni kazi ya it /telecom

Re:-nisaidieni kazi ya it /telecom

ISAAC11

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
94
Reaction score
12
jamani naomba msaada mie nina masters na nina experience ya kutosha kwenye networking na Telecommunication naomba mnisaidie nipate kazi ya hiyo field au hata mchongo wowote ule .Thanks Alot
 
Omba ukafundishe...nenda Iringa Tumaini,Ruaha Univ,hapa Dar Tumaini,OUT,SAUT,KIU.......sio lazima upate kwenye telecom.Anzia hapo kwanza!vingine vitakuja tu!Telecom wame outsource function nyingi za IT na Telecom....ushauri wangu wa bure,ila unaweza ukaweka CV mtandaoni Rada Recruitment uone kitakuja nini!
 
Back
Top Bottom