Re:Muda ni hakimu mzuri sana

Re:Muda ni hakimu mzuri sana

Wakishapata hizo hela, majumba,estates na posh cars!!! what next!!!! Hasa kwa waafrika!!! Mtagawana na vimada!!!! Tena wengi gari tu likipatikana ni hatari!!
 
Af kadiri siku zinavyoongezeka na mashetani yanaongezeka,....sijui tukimbilie wap>>>Mungu tu atunusuru

af wao kazi kulalamika tu wanawake wa sikuhizi....Tufanyeje kama wao wameanza wacha tu wanaoweza kuwakomesha wawakomeshe tena kisawa sawa

Mh, asilimia kubwa ya wanaume huwa chanzo cha matatizo kwenye familia zao. Nina mifano mingi sana ya wanaume waliowapenda wake zao wakati wakiwa na uwezo mdogo na wake zao walivumilia wakiamini ipo siku watafanikiwa, mwisho wa siku mwanaume akipata mafanikio anamnyanyasa mke au hata kumdivorse. RIP my cousin
 
Tabia halisi ya mwanaume ni kipindi ana hela baaaas,kipindi kafulia basi utajua tabia ya mwanamke alienae
 
...weeee...weeeee....umelalaaaaaa....

...hata utoe maneno matamu na ya ukweli na kufundisha kama ya bibilia.....SIO DUNIA YA LEO...

...HATA UKESHE UNAIMBA NA MIAKA YAKO YOOOOOTE DUNIANI NA MANENO MATAMU NA HEKIMA.....HUTAWAPATA WANAWAKE.....

...WW TAFUTA PESA...PESAAAA...NAONA HUSIKII....TAFUTA PESAAAAAAAAAAAAAAA..nina zako mwanaume gani ww outdated nn......ukiwa nazo tu.... wenyewe wengiiii watakutafuta.....tena unatest unajichagulia....huongei chochote....unawaambia tu funua....ukiona used au haifai for ur test unamwambia potea.....acha kulia lia...tafuta pesaaaa....wenyewe kazi yao wanaangalia wenye nazoooo....

...shauri yakoooo...

Short and clear...maisha haya jifanye sijui kupenda wakati huna hata uwezo,siku utakayofika ukweni alafu unapewa list ya vitu kibao vya kuleta ndo utajua what comes first!money or love
 
Back
Top Bottom