Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,059 Reaction score 10,519 Nov 9, 2013 #1 Habari wakuu, Nilikuwa na website yangu,nime host kenya. Sasa nilitaka kujua na mna ya ku iweka kwenye major search engines kama google nk. Na pia ushauri mwingine wowote wa kuifanya iwe more visible.
Habari wakuu, Nilikuwa na website yangu,nime host kenya. Sasa nilitaka kujua na mna ya ku iweka kwenye major search engines kama google nk. Na pia ushauri mwingine wowote wa kuifanya iwe more visible.