Re: Mandojo and domokaya

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
Aisee hawa wasanii wawili wametoa megamix ya nyimbo zao karibu zote zilizowahi kusumbua kama niaje, wanoknok, dingi,n ikupe nini na nyinginezo, hii megamix ni kali balaa.

Nshaiona kny local tv stations kama mara mbili hivi.. lakini tatizo la hawa jamaa ni poda,unga,ngada,ngoma au Mondo.. hawa watu wanakula unga sana aisee... yaan kama huyu mandojo nliwah kaa nae kny baa moja inaitwa chuchu karbu na CBE pale dodoma.. alikuwa amedevela vibaya.. hoi kwa unga.. dah, unga ulivokuwa hauna adabu ukiwa na alosto jamaa c wakapita na simu ya demu wangu.. Mandojo kama unaingiaga humu chukua hii ACHA UNGA, si mmesikia mwenzenu wa huko ulaya yaliyomkuta??? sauti mnazo ila kwa mwendo wa unga tutawa RIP
 
Please Wambuzi ! Waonye vyovyote utakavyo hao madogo lakini usihusishe maono yako na the death of our diva... Hata kama.
... Watu bado tuna majonzi bhana,regardless what !
 
Mandojo namfahamu vizuri sana maake nimekaa naye ghetto pale kota za polisi kwa muda mrefu,kabla ya kutoka kisanii.....ni mfuasi mzuri sana wa dope(kaya)....na sijui kama ataacha kirahisi labda kwa nguvu za Mungu,...mwezi uliopita nilikutana nae pale babylon akiwa na afande selle,..........yaani ni ngumu kumeza kwa kweli.
 
tuwaombee kwa mungu tu aisee.. huyo sele mwenyewe anakula mondo vilevile
 
naona shosti anakusumbua sumbua kidogo mkuu.. mkazie tu atakuelewa
 
Back
Top Bottom