Re: Kazi ya kujitolea.

Kisiya Jr.

Senior Member
Nov 21, 2011
102
29
Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Utumishi wa Umma. Kutokana na kazi nyingi kutangazwa kwa vigezo vya uzoefu,nimeamua kutafuta pahala nikajitolee nipate uzoefu angalau kwa mwaka mmoja ambapo nitakua nimeshapata Transcript yangu ya chuo.
Kwahiyo ndugu zangu naomba msaada wenu,hata ushauri wa ofisi za kwenda ziwe za umma au binafsi au hata NGO nipo tayari.

Naomba kama kutakua na msamaria anaeguswa na hilo ani PM.
Nawasilisha wakuu.
 
jaribu kupita pia ktk halmashauri zilizokaribu labda kunaweza kukawa na hzo chances
 
Ili uweze kusaidiwa ni vizuri ukaandika fani uliyosomea

jaribu kupita pia ktk halmashauri zilizokaribu labda kunaweza kukawa na hzo chances

Kama huna mpango wa kufanya kazi serikali za mtaa, uzoefu wa halmashauri unaweza usikusaidie chochote kwani wanaweza kukpangia tuu vikazi vya kikarani kama kuandika hati za malipo kuanzia asubuhi mpaka muda wa kufunga ofisni
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom