Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,005
- 10,379
Habari wakuu,
Jamani mie nilikuwa na pesa ya nusu ya thamani ya aina ya gari ninalohitaji.
je kuna sehem wanakopesha kwa kulipa nusu ya gharama then kulipa kwa awamu kila mwenzi na terms zipoje?
Gari ni kwa biashara kwahiyo nilipe nusu kisha nipewe nifanyie kazi.
Gari takuwa mali ya wahusika mpaka nimalize deni ndio tunaweza kuchange documents ili hiyohiyo ndio iwe dhamana yangu.
Afri carriers wanatoa mkopo unalipa kama asilimia 40 unaacha kadi na gari lazima liwe na Insurance unapewa Mkataba either wa kulipa kila wiki hadi Mwezi... Wana mabasi aina ya Eicher yanalipa kibiashara...
Ni safi,eicher kwa mkopo inaenda kwa ngapi?
Njoo kwetu gftrucks, 0767386011
ungeweka mambo wazi maana wengi tungependa kufanya hivyo hata kama si leo, tupe details kama
mko wapi?
mna bidhaa gani?
taratibu zikoje? etc
Mkuu utapata tu wako wengi, kwani unahitaj gari aina ipi?
Tunazo za mizigo, tippers na semi 380hp aina faw.