RE:Chachandu ya gold

Usimpangie vya gharama wakati wewe mwenyewe huwezi kuvimudu, bora ungemtajia ata silver 60,000 tu ingetosha, au shanga za masaai 3,500 kwishney. Unataka kunywa soda wakati una uwezo wa kunywa togwa?





 
dah,jameni sjawai bahatika pata mwanamke mjuz wa kuvaa hzo mambo jamen,nioneen huruma,..au kwasabab nacheza na bara tuu?yan na imagine dah?

mnunulie umpendae
utatamani asivae nguo kila wakati
ili uone kajikiuno kalivyopendeza!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…