RE:Chachandu ya gold

Yahusu

Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
10
Reaction score
4
Nimpe Bwana sifa na utukufu kwa kunipatia huyu mchumba, ananipenda na mimi nampenda panapo majaaliwa mwishoni mwa mwaka huu tutafunga ndoa.

Tatizo ni kwa x-girl friend wangu alikuwa na chachandu ya gold kiunoni. huyu hana. nilipomwomba atafute chachandu kanipa jibu linalonikosesha raha kabisa eti kwanini nisimletee na kwa nini namwambia ajinunulie. kosa langu nini hapa? mbona mwenzie alikuwa nayo?
 
dah!bro sio fair kutunza kumbu kumbu za x-gf/mchumba kwenye uhusiano mpya,sio afya kabisa kwa uhusiano wenu,
 
Yani wewe ni mbulula wa nguvu ndio nyie mnaacha jero hm mkirudi mezani imepikwa kuku na biriani wala huhoji unajiachia na na fane unawasha ili ule ushibe vizuri my take USIONE VYAELEA................. malizia nijue umeelewa mada.
 
Mambo ya kumtaka mchumba wako awe kama x-wako ni kumkosea adabu mchumba wako.Alafu mambo ya kuvaa shanga na cheni kiunoni ni matakwa ya mtu.

Kama una hamu na hizo cheni nunua uvae mwenyewe na sio kumlazimisha mdada wa watu awe kama x wako.
 
Yani wewe ni mbulula wa nguvu ndio nyie mnaacha jero hm mkirudi mezani imepikwa kuku na biriani wala huhoji unajiachia na na fane unawasha ili ule ushibe vizuri my take USIONE VYAELEA................. malizia nijue umeelewa mada.
Ingawa sijaenda shule hii naweza bahatisha - UJUE VIMEUNDWA
 
Ila wewe....umeniudhi! Huoni kosa lako kijana?!Kubeba makunyanzi ya mahusiano yaliyopita na kuyaleta kwenye uhusiano wako mpya unaodai 'unampenda' huku ukimfananisha na ex wako ni tabia chafu, tena mbaya sana!

Umeona huo ushamba eeh, me mwanamke wangu akinambia story za x wake alikuwa hivi mara vile,alikuwa anafanya hivi mara vile yaani hapo hapo nakusepesha.
 
Mwenzie alinunuliwa na mwanaume kama wewe anaejitambua ila wewe ulikuwa unaitumia tu kimburulamburula.
 
Umeona huo ushamba eeh, me mwanamke wangu akinambia story za x wake alikuwa hivi mara vile,alikuwa anafanya hivi mara vile yaani hapo hapo nakusepesha.

Aiseee... nimeshindwa kumuelewa mtoa mada kabisa. Kama chachandu ndio inamkosesha raha, si arudi kwa ex wake?!
 
Ndo maana wanawake wanalalamika siku hizi...eti huyo ndo mchumba demu anatakiwa ampeleke kwao
 

Kama hujaweza kungamua tatizo lilipo kwenye hili jambo naomba utambue kuwa huna sifa za kuwa mume wa sisimizi achilia mbali binadamu mwenye jinsia ya kike!
 
hahahhah duh umenikumbusha mbali saana, enzi hizooo kabla sijaamua kuwa Baba mwenye nyumba! Niliwahi kukutana na Dem mmoja katinga Gold nahisi zilikuwa za Mama/Dada yake make alikuwa amevaa nusu nyingine ilikuwa ina hang kwa jinsi ilivyo kuwa kubwaaaaaaaaaaaaaaa
 
du.! Mambo ya kujihudumia mapema hivyo na hairisha kuolewa nawe maana hujajipanga kuwa na mke,
Aise...lakini hichi kizazi cha karibuni hichi kinamtazamo tofauti sana kuhusu maisha...wanayachukulia maisha kiasara asara sana...
 
Aisee kuna wanaume wabahili jamani duh... chain tu tena anayoitaka yeye kwa starehe yake akiambiwa anunue anakuja kuanzisha uzi hapa lol hatari! Huyu si ndo atahesabu mnatumia nyanya ngapi kwa siku home... duh how sad.. halafu hapo ndo anasema anampenda!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…