Re apology ; leo tuko hapa pub

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,035
Reaction score
168,664
sina la maana la kujitetea, ila najua sijatenda haki. Mtambuzi, Madame B, vin diesel, Kipaji Halisi, KakaKiiza, amu, Paloma, Zion Daughter na wadau wengine nilio waahidi kuja na wale wote waliokuwa wakinitegemea hasa Mzee wangu mheshimiwa Afande kueoka jeshi la wajeda, naomba mnisamehe sana kwa kushindwa kuja kuhudhuria warsha ,
kongamano na semina elekezi yetu pale NGURDOTO YA DSM!
Ndugu zangu sitaki kutotoa hadhari mayai ya sababu ya kufeli kwangu, jamani nisameheni puridhíiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Hujasamehewa, maana ule mtulinga wako uliotaka nikuletee, kila mtu alikuwa anaugopa kuugusa, bado ji chupa limebaki viler vilr bila kuguswa...

Mzinga bado unakusubiri ata kama ulikwepa jana, maana ile kitu kila mtu anaigopa hata kuigusa akiwemo Mzee ODM Asprin
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini usihudhurie warsha lakini........? Hiki kitendo kimeniuma sana........
 
Last edited by a moderator:

sitaki kuamini baba ww ndo ulikuwa waiter loh
 
Mambo ya analoji unayo bado si wenzie tuko dijitali
Mhhh bro umeamka saivi inaonesha....enhee aya neenda kuleee kwenye ile thread ukajibu mashtaka yakiwamo ya:
- wapi ulipo mtandio wa amu

- pochi ya FirstLady na hatima yake makwapani mwa KakaKiiza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…