Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 795
- 704
Sisi wa 2015 hamtutaki kibasaaaa😭😭😭Shule: Prime MIkocheni.
Idadi: Walimu Watatu.
Sifa: Degree ya Elimu mfano (Bachelor of arts with Education).
Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 na 2025.
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Namna ya Kutuma:
Andika jina lako, mwaka wa kuhitimu chuo, jinsia yako, mahali ulipozaliwa, na mahali unapoishi kwa sasa. Kwenda WhatsApp namba: 0653 250 566.
Zaidi: usipige simu, tuma ujumbe whatsapp pekee.
Kwa nini limerudiwa kutangazwa?
Katika tangazo la kwanza, watu wasiofahamika nia yao walisema ni tangazo la utapeli, hivyo alijitokeza mwombaji mmoja pekee katika usaili. Niwasihi watu kuwa, tuache kukatisha waombaji tamaa kwani si kila tangazo ni la kitapeli.
Shaka ondoa mkuu, zamu itafika tu.Sisi wa 2015 hamtutaki kibasaaaa😭😭😭
Idadi ya wanafunzi imeongezeka, tunaamini kuwa, mtu aliyehitimu katika miaka hiyo ana nguvu zaidi ya kufanya kazi. Kwa aliyemaliza miaka iliyopita nyuma, bado tunao na wanatumika katika madarasa ya kimkakati hasa yale yanayofanya mtihani.Kuna mahusiano gani kati ya kufundisha na mwaka wa kumaliza chuo?
Kuna mawili either wanataka cheap labour au ni matapeli wanawalenga madogo ambao wako obsessed na kaziKuna mahusiano gani kati ya kufundisha na mwaka wa kumaliza chuo?
Hapo sawa. Lakini kunambia hawa mad9go wana skills za kufundisha ati kwa sababu wamemaliza hivi karibuni mie nakataa.Kuna mawili either wanataka cheap labour au ni matapeli wanawalenga madogo ambao wako obsessed na kazi
Msowakatishe tamaa.Wanaweza kuwa watu wenye wema wa kutosha.Kuna mawili either wanataka cheap labour au ni matapeli wanawalenga madogo ambao wako obsessed na kazi
Kuna kazi za muda mrefu, imani yetu ni kwamba, kijana mpya zitamfaa. Mfano, vipindi vya ziada n.k.Kuna mawili either wanataka cheap labour au ni matapeli wanawalenga madogo ambao wako obsessed na kazi
Tunaamini kwamba, mwalimu yeyote mwenye degree anaweza kufundisha masomo yote primary. Hata hivyo, upo uwezekano kwamba imani yetu haipo sahihi.Taja specific subjects, hakuna bachelor of education (general). Vinginevyo ni utapeli
Imenishangaza sana kuona jamii sasa inaona kila kitu ni utapeli. Matapeli wamefanya mkweli hajulikani na muungwana hatambuliki!Msowakatishe tamaa.Wanaweza kuwa watu wenye wema wa kutosha.
Nguvu za nn? Unataka abebe wanafunzi mgongoni? Hembu acha blabla bwana. Hivi ualimu wa mathematics unahitaji nguvu ya kufanya nn?Idadi ya wanafunzi imeongezeka, tunaamini kuwa, mtu aliyehitimu katika miaka hiyo ana nguvu zaidi ya kufanya kazi. Kwa aliyemaliza miaka iliyopita nyuma, bado tunao na wanatumika katika madarasa ya kimkakati hasa yale yanayofanya mtihani.
Wa miaka hii anakubali kulipwa mshahara mdogo sababu hana majukumu. Anakuwa cheap labour na bado hajitambui.Kuna mahusiano gani kati ya kufundisha na mwaka wa kumaliza chuo?
Nguvu ya kufundisha muda wa ziada. Kwa mfano, wanapotoka vipindi vya kawaida, atatakiwa afundishe zaidi vipindi vya ziada. Hapo huleta utata mnapokuwa na mtu mwenye familia hasa akikumbuka mume na watoto.Nguvu za nn? Unataka abebe wanafunzi mgongoni? Hembu acha blabla bwana. Hivi ualimu wa mathematics unahitaji nguvu ya kufanya nn?
Kweli watawapata kwa wingi mana hawa ndo wale wanaweza kuwanyonyesha watoto ndushe zao kama yule wa mikocheni miaka ileWa miaka hii anakubali kulipwa mshahara mdogo sababu hana majukumu. Anakuwa cheap labour na bado hajitambui.
Upo sahihi kabisa, nyongeza ya hiyo, anakuwa anatafuta zaidi uzoefu.Wa miaka hii anakubali kulipwa mshahara mdogo sababu hana majukumu. Anakuwa cheap labour na bado hajitambui.
Hawa wapya walimu watawalipa laki tatu ama mbili ivi wanawambia kuwa hamna uzoefu sidhani Kama watatoa hata laki nane net kwao. Yaani wanacheza na mindset zaoSisi wa 2015 hamtutaki kibasaaaa😭😭😭
Kwanini usiwe mkweli kuwa mnahitaji Cheap labor.Idadi ya wanafunzi imeongezeka, tunaamini kuwa, mtu aliyehitimu katika miaka hiyo ana nguvu zaidi ya kufanya kazi. Kwa aliyemaliza miaka iliyopita nyuma, bado tunao na wanatumika katika madarasa ya kimkakati hasa yale yanayofanya mtihani.
Upo sahihi mkuu, tunahitaji graduates ambao tutawalipa mshahara mdogo.Kwanini usiwe mkweli kuwa mnahitaji Cheap labor.
Kwakuwa nguvu inahusikaje hapo na mwaka wa kumaliza Chuo
Ni kwamba mnatafuta recently graduate ambao mtawanyonya na kuwapa low wages.