Katika hali ya kusikitisha kwenye Mkoa wa Morogoro, Mkoa mkongwe wenye kamati ya ulinzi na usalama iliyotimia inawezekanaje kiwanda cha kutengeneza silaha kikawa mjini (Eneo la Masika) kwa muda mreeefu mpaka pale kilipovumbuliwa na askari wa TANAPA???? tena na kukutwa na shehena ya silaha.... Shame on youu!
Niliumia sana moyoni kuona habari hio via ITV, Ningekuwa na mamlaka hakika kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa ningepiga chini jana hiyo hiyo ili kuleta fundisho. Polisi wapo Morogoro, TISS wapo kila aina ya vyombo vya usalama vipo hivi mtawaeleza nini watanzania kwamba nini kiliwakwamisha kugundua chaka hilo la wahalifu. Nani alaumiwe, mjiangalie watanzania wa leo sio wa jana...tumewaona hata kama hamtawajibishwa!