Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,400
- 29,339
verified user mnatakiwa kuchunga maandishi yenu.
Kwa huu uoga itakuwa hata hamuwezi ‘kujamba’ au inawalazimu kutazama huku na kule kabla, maisha ya hovyo sana usipojitambua.
verified user mnatakiwa kuchunga maandishi yenu.
Kuna kiongozi au cheo cha mtu nimetaja hapo. ?Lakini mkuu lugha uliyotumia si nzuri kwa viongozi wetu hawa, hata kama hauwaheshimu wao basi heshimu mamlaka zao.
Acha uzushi yaan morovian ilianza kabla kkkt wakat temple kwetu la kkkt limejengwa kipindi cha utawala wa kijeruman...kumbe hata hujui asili ya morovian
sawa basi endeleaKuna kiongozi au cheo cha mtu nimetaja hapo. ?
Mkuu hizo mamlaka naziheshimu kwa kuwa najua regardless unazipenda or not bado ni lazima uziheshimu mkuu.sawa basi endelea
ulimi uponza kichwa lakini pia vidole, macho na kichwa vya weza kuponza mwili mzima. Tumia vizuri viungo hivyo kwa manufaa yako na ya wale wanaokzunguka.Kwa huu uoga itakuwa hata hamuwezi ‘kujamba’ au inawalazimu kutazama huku na kule kabla, maisha ya hovyo sana usipojitambua.
Hilo kanisa la KKKT hapo Mbeya lilijengwa eneo gani? Moravian ilijengwa karibu na shule ya Loleza, mimi ni Moravian ilikuwa nikienda Dar nasali KKKT na KKKT wakienda Mbeya wanasali Moraviani, Mbeya na Tabora hawakuwa na kanisa la KKKT, usilete ligi isiyo ya msingi.Acha uzushi yaan morovian ilianza kabla kkkt wakat temple kwetu la kkkt limejengwa kipindi cha utawala wa kijeruman...kumbe hata hujui asili ya morovian
Sijui nabishana na mtu wa umri gan but kwetu rungwe kkkt ipo kitambo toka utawala wa mjerumanHilo kanisa la KKKT hapo Mbeya lilijengwa eneo gani? Moravian ilijengwa karibu na shule ya Loleza, mimi ni Moravian ilikuwa nikienda Dar nasali KKKT na KKKT wakienda Mbeya wanasali Moraviani, Mbeya na Tabora hawakuwa na kanisa la KKKT, usilete ligi isiyo ya msingi.