Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,099
- 24,338
Katika hali ya kushangaza ulimwengu, mkuu wa mkoa wa Mbeya ndugu Chalamila, amekusanya mafarisayo na masadukayo kuiombea na kuzindika ujenzi wa ofisi mpya Toya mkuu wa mkoa baada ya ile ya awali iliyojengwa na Wajerumani mwaka 1952 kuvunjwa.
Maajabu ni pale Sadukayo mmoja alipokuwa akisali akawa ananukuu vifungu vya Biblia akisema "Wale wanataja magari yao, farasi wao lakini sisi tunalitaja jina la jiwe" yaani wamefika pahala wanamfananisha Jiwe na Mungu, hiki ni kiburi cha uzima, na uzuri mafarisayo na masadukayo waliwakilisha dini zote, kwahiyo hapa nazunguzia Vatican na Mecca kasoro walokole siku hizi hawapo kwenye upuuzi huu zaidi ya hawa wanao jiita manabii na mitume.
Mungu atunusuru, tumevunja jengo ambalo lingeweza kuwa kivutio cha utalii tunafikiri utalii ni wanyama pekee, Spain, Italy, Morroco na uingereza wana watalii mara 10 ya tanzania lakini hakuna wanyama wengi kama huku , ni majengo
Watanzania wengi wakienda ulaya wamapiga picha na maghorofa tena kwa kulipa, huo ndio utalii, sisi tunavunja na kujenga majengo ya wachina ya slide window na tiles, shame om us!
Walishindwa vipi kujenga ofisi pajala pengone ama pembeni?