kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,197
Hujamuona kwenye taarifa ya habari ya ITV usiku huu akiwa anasimamia utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara zilizoharibiwa na mvua jijini Dsm?!!Kwa muda mrefu sasa mkuu wa mkoa wa Dar sijamsikia ni kama zaidi ya wiki 2 na siku hiv . nin kimempata mkuu huyu maana najua huwa sio kawaida yake kukosekana kwenye media kwa muda mrefu hiv .
.
.
Naona na Dada yake mange kasema kuna majanga yamempata japo hajafanunua .hebu wajuzi wa mambo tupe information
KwishneyKwa muda mrefu sasa mkuu wa mkoa wa Dar sijamsikia ni kama zaidi ya wiki 2 na siku hiv . nin kimempata mkuu huyu maana najua huwa sio kawaida yake kukosekana kwenye media kwa muda mrefu hiv .
.
.
Naona na Dada yake mange kasema kuna majanga yamempata japo hajafanunua .hebu wajuzi wa mambo tupe information
Mtaendelea tu kujenga barabara kwenye makaratasi na ku saini tu mwisho wa zitabaki vilevile....Hujamuona kwenye taarifa ya habari ya ITV usiku huu akiwa anasimamia utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara zilizoharibiwa na mvua jijini Dsm?!!
Mwambie mwenyekiti wenu wa kudumu naye ajenge zake.Mtaendelea tu kujenga barabara kwenye makaratasi na ku saini tu mwisho wa zitabaki vilevile....
Ova
We Kilaza kweli,Kwani yeye anasimamia kodiMwambie mwenyekiti wenu wa kudumu naye ajenge zake.
Inahusu[emoji241]We Kilaza kweli,Kwani yeye anasimamia kodi
Ova
Wanadamu ndivyo tulivyo hatunaga jemaAkisikika kila siku mnasema anapenda kiki,asiposikika mnamtafuta alipo kuuliza kwa nini hasikiki haaahaa