comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Nasoma kuhusu DC Happi kukaimu nafasi ya RC sifahamu mkuu wetu wa mkoa yu wapi na nini kimemfanya asitekeleze msjukumu yake.
Hope yu mzima wa afya somewhere
Yupo USA anangojea kumuwskilisha mkuu kuapishwa kwamTrump.
Sehemu zingine kama unawahi kazini na unakuwa wa mwisho kutoka kila siku na na likizo hutaki kwenda "TAKUKURU" wanakuchunguza maana hizo ni dalili za corruption.... Mtumishi wa uma hutaki kwenda likizo? Lazima utakuwa na tatizo!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Atakuwa amepigwa kipapai na vizee vya Dar!!
Kikwete walimponda, mwaka tu wanammiss. Makonda wiki kadhaa tu wanammiss. JPM watammiss sana baada ya 2025.Haaa haaa mmemis TaYar haaaaa
Nasoma kuhusu DC Happi kukaimu nafasi ya RC sifahamu mkuu wetu wa mkoa yu wapi na nini kimemfanya asitekeleze msjukumu yake.
Hope yu mzima wa afya somewhere
Anakaimu Hapi au Dr Mjema?!!!Nasoma kuhusu DC Happi kukaimu nafasi ya RC sifahamu mkuu wetu wa mkoa yu wapi na nini kimemfanya asitekeleze msjukumu yake.
Hope yu mzima wa afya somewhere
isalimie CCM mkuu![emoji1]Yupo,kumbe huwa mnammisi enhe!?
zimefika mkuu!isalimie CCM mkuu![emoji1]
LikizoNasoma kuhusu DC Happi kukaimu nafasi ya RC sifahamu mkuu wetu wa mkoa yu wapi na nini kimemfanya asitekeleze msjukumu yake.
Hope yu mzima wa afya somewhere