Mh Makonda likizo. Likizo yake ndefu aneitumia kutenbelea Nchi mbalimbali kama vile Marekani,Ufaransa na sasa yupo South Africa yeye na Mke wake. Nafasi yake kwa sasa inakaimiwa na Mh Salum Hapi Mkuu wa wilaya ya Kinondoni.

Ni mda sasa umepita sijakuona iwe physically au kwenye digital video,wala sijakusikia ukisema. Kama umeondoka mbona hujatuaga? Nani tumuone ukiwa wewe haupo? Huwa tukuona kwenye mabango humo barabarani. Tafadhali mkuu wetu popote ulipo utujuze.