RC Makonda rudisha Coaster barabara za mwendo kasi

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,097
Reaction score
2,312
Mheshimiwa mkuu wa mkoa.Haya mabasi ya mwendokasi ni kero,kwenye usafirishaji wa abiria hapa mjini.Abiria tunakaa vituoni zaidi ya masaa mawili tukisubiri usafiri.

Tukuombe,kama ulivyoruhusu pikipiki na Bajaj kuingia mjini,ruhusu pia na Daladala zibebe abiria kwenye njia za mwendokasi, mfano Kimara kwenda Kariakoo na kurudi,Mbezi kwenda posta.

Na hii ifanyike asubuhi na jioni.
 
Kwamba zipite kwa njia ya mwendokasi. Kwani yanakopita mengine kuna shida gani?
 
Mradi wa mwendokasi haupo Chini ya serikali ya mkoa bali upo chini ya wizara.
 
Mimi sisemei Mradi,nazungumzia kuruhusiwa Daladala za kawaida kubeba abiria kule ambako mabasi ya mwendokasi yanakwenda.Mfano Mbezi kwenda kariakoo,Kimara posta.Nakurudi
 
Vituo vingine vya mwendo kasi havitumiki mf. Jangwani! Mtoa hoja big up!
 
Badala ya kurudi nyuma kwenye daladala, tushauri kuwa hayo mabasi ya mwendokasi yaongezwe yawe mengi.
 
Leo tumekaa pale Gerezani ½ saa hakuna gari inayobeba abiria, lakini wakati huo huo yamepaki kama 40 hivi.
Inatia hasira sana na inaonesha ni jinsi gani mwafrika hawezi kujitawala/kujiendesha.
Yaani suala dogo kama kuendesha mradi wa mwendokasi nayo tunashindwa?
Lilikuja gari limeandikwa Morocco- Gerezani, lakini sijui wametumia Masizi kuandika?
Yaani licha ya kuingiza mamilioni wanashindwa kuandika kwa machine?
 
Mheshimiwa mkuu wa mkoa.Haya mabasi ya mwendokasi ni kero,kwenye usafirishaji wa abiria hapa mjini.Abiria tunakaa vituoni zaidi ya masaa mawili tukisubiri usafiri.

Tukuombe,kama ulivyoruhusu pikipiki na Bajaj kuingia mjini,ruhusu pia na Daladala zibebe abiria kwenye njia za mwendokasi, mfano Kimara kwenda Kariakoo na kurudi,Mbezi kwenda posta.

Na hii ifanyike asubuhi na jioni.
we jamaa akilo zako ndogo sana, sasa coaster zikwa nyingi kwenye hiyo njia foleni si itakuwa palepale. panda daladala kwani umelazimishwa kupanda mwendo kasi
 
Mheshimiwa mkuu wa mkoa.Haya mabasi ya mwendokasi ni kero,kwenye usafirishaji wa abiria hapa mjini.Abiria tunakaa vituoni zaidi ya masaa mawili tukisubiri usafiri.

Tukuombe,kama ulivyoruhusu pikipiki na Bajaj kuingia mjini,ruhusu pia na Daladala zibebe abiria kwenye njia za mwendokasi, mfano Kimara kwenda Kariakoo na kurudi,Mbezi kwenda posta.

Na hii ifanyike asubuhi na jioni.
NI kwel,, huduma hyo ya usafiri inasumbua kutikana na mabasi mengi
Kuharibika, so tusubr mayengenezo k tatzo ltaisha tu
 
Mimi sisemei Mradi,nazungumzia kuruhusiwa Daladala za kawaida kubeba abiria kule ambako mabasi ya mwendokasi yanakwenda.Mfano Mbezi kwenda kariakoo,Kimara posta.Nakurudi
Kwa ufupi aruhusu daldala kuwa mwendo kasi ila mapato wachukue went daladala
 
Tamisemi ndio wahusika yaani S.Jafo ndie waziri mwenye dhamana.

Coordination yaani hakuna kabisa auxiliary police ndie anaewasiliana na dereva kwa simu ya mkononi.

Vyoo hakuna kwenye vituo vikubwa

Bench forms/ viti hakuna

Feni kipindi cha joto changamoto

Jumatatu 29/6/2020 shule zikifunguliwa sijui itakuwaje.
 
Back
Top Bottom