RC Makonda, Kuhusu utaratibu wa kupanda miti mkoani Dar-Es-Salaam, tarehe 1/October/2016.

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Mheshimiwa Makonda, tunaomba ratiba ya shughuli ya upandaji miti mkoani Dar kama ulivyolitangazia taifa tarehe 1/09/2016.

Nawasilisha!
 
Matamko yanayotolewa kwa mihemko ya kisiasa mara nyingi huwa hayafanikiwi.
 
Eti alikuwa anazuia ukuta usifanyike,sasa umeahirishwa na yeye kaahirisha,akili ndogo sana...
 
Back
Top Bottom