Sauti ya Rondo
Senior Member
- Aug 1, 2009
- 127
- 226
haaaaaaaaaaaaaKaoge bado anatamba tu saivi anakomaa na mwimbaji baraka aanze na kaoge kwanza.
Hivi wanaozurula unafikili wanapenda ww??Umasikini wake huko alikotoka haimaanishi afunge Mdomo asiwazungumzie Wazurulaji, ajira utafutwa kwa Malengo, ndio maana ata yeye Makonda alitoka chini akaenda juu. Watu hawataki kutafuta kazi, pia kufanya kazi kwa kujitoa ili watu waone uwepo wako wakusaidie, kama uangaiki uwezi fika na kupata kitu. Muacheni Mkuu wa Mkoa aonyeshe jinsi ya vijana tunapasa kuishi. Piga kazi Mkuu wa Mkoa Makonda, Mafanikio uwafuata walio jasiri sana( Ufalme wa Mungu uridhiwa kwa Walio na nguvu) By Jesus Christ.