RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Wadau Nimesikitishwa sana Na Kitendo kilichofanywa Na Uongozi mzima wa Clouds kumruhusu Bw.Makonda Na msafara wake wakiwa Na Silaha Kwa vyovyote ni za Jeshi la Polisi au JWTZ kuingia Studio Na kupiga kutisha watangazaji Na kuwaamuru kurusha kipindi.Sina ugomvi Na walichorusha ila utaratibu mzima uliotumika , je silaha alizotumia makonda zingeporwa Na majambazi ingekuwaje?Ndio maana nataka niende mahakamani ili Makonda, uongozi wa Clouds watangazaji Na hao walikuwa Na silaha watueleze watanzania ukweli.
Kwan uongozi wa clouz unakosa ganii ndugu au hujui kilicho tokea
 
Nasikia ana mpango wa kuji RIP.
asinifanyie hivyo,,,,,akiji r.i.p ubuyu ntautoa wapi??
nimenunua GB 10 kwaajili ya bashite sasa akifa ubuyu utawahi kuisha......mimi sitaki hata atumbuliwe ili niendelee kucheki hii series hadi mwisho
 
Huyo ni Mrs daudi asikuumize kichwa tehe tehe tehe
Kwi kwii kwii!! cocochanel, eti kweli wewe ni Mrs. Daudi?! Kama kweli, akikuambia muhamie Kolomije usikubali manake unaweza kuzeeka kabla siku si zako; mwambie tu utaenda kuishi na uncle chige!!
 
naona wanajitetea baada ya mange kusema anaenda kuanika machafu ya maboss wa clouds FM naona wameanza kupiga propaganda
kumbe nawe umeligundua hilo? mimi naona uzi huu ni wa kutoka clouds kwenyewe lengo likiwa nikujisafisha ili kuepukana na yule dada mange. maana huu uzi ni kusema kwamba wao hawahusiki na clip ile, na kwamba walikataa kuicheza, na kwamba hata soudy alipigwa kwa kukataa kuicheza na kwamba aliyerusha mitandaoni ni daudi mwenyewe. huu ni utetezi wao
 
Jamani tusitiane majaribuni kuulizana maswali magumu hivi ngoja wana wasemaji wao watakuja kuliongelea hili ni suala la muda tu maana hili swala sio dogo kama tunavyolifikiria
 
17425051_414981178856368_8186338560350769096_n.jpg
 
Back
Top Bottom