SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Sera za afya zimewashinda wamekimbilia kusaidia mtu mmoja mmoja, kwa mtindo huu watawasaidia wangapi.
Acha roho ya kichawi wewe.Sera za afya zimewashinda wamekimbilia kusaidia mtu mmoja mmoja, kwa mtindo huu watawasaidia wangapi.
Sera za afya zimewashinda wamekimbilia kusaidia mtu mmoja mmoja, kwa mtindo huu watawasaidia wangapi.
Kwamba kadanganya kuwa Sera za Afya hazijawashindaAcha roho ya kichawi wewe.
Katika kitu nachukia Ni hili swala ambalo hadi viongozi wa kitaifa wanasherehekea kupeleka watu India hivi kwann kusiweke utaratibu wa kupeleka madaktari wetu masomoni ulaya Na kuwawezesha kwa kuwanunulia vifaa ili waweze kufanya hizi huduma apa nyumbaniNa Mwandishi Wetu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametimiza ahadi ya kusaidia gharama za matibabu ya mshindi wa BSS 2009 Pascal Cassian kwa kumkabidhi Tiketi ya Ndege,Pesa ya Nauli, Chakula,Hotel na Pesa ya kujikimu kwa watu wote watatu watakaomsindikiza akiwemo Mke wake na Mkuu wa kitengo cha Urolojia Hospital ya Taifa Muhimbili.
RC Makonda amesema uamuzi wa kumpeleka Nchini India ni baada ya Jopo la madaktari bingwa wa Muhimbili kuridhia na kumtafutia Hospital ya kimataifa nchini India yenye uwezo wa kutibu tatizo hilo.
Aidha RC Makonda amewashukuru watanzania wote waliochangia na kufanikisha safari hiyo na kuwaomba wazidi kuwa na moyo huohuo wa kusaidiana kwenye matatizo.
Kwa upande wake Pascal Cassian amemshukuru RC Makonda kwa kuona maumivu aliyokuwa akiyapata na kuamua kumsaidia ambapo ameeleza kuwa anaamini atarejea nchini akiwa amepona kwa uweza wa Mungu.
Itakumbukwa RC Makonda aliamua kumsaidi Pascal kwa kumtoa Nyumbani na hospital baada ya kuona kupitia mitandao ya kijamii maumivu aliyokuwa akiyapata baada ya kupata ajali iliyopelekea tatizo kubwa la kwenye mfumo wa figo.
#Upendo #Utayari #Uwajibikaji #Ushirikishaji View attachment 1049163
Sent using Jamii Forums mobile app
Assee...anko mpoto kafanya juhudi kubwa sana kuliweka wazi tatizo la huyo bwana Pasco. Mi nampa heko.Sijafurahi kumuona Mpoto tu hapo pichani, sijui yupo hapo kama nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Paul Makonda ni kiongozi mzuri sana, mwenye utu sana, anayesaidia sana jamii kwa kutoa misaada ya hali na mali kwa wahitaji.Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametimiza ahadi ya kusaidia gharama za matibabu ya mshindi wa BSS 2009 Pascal Cassian kwa kumkabidhi Tiketi ya Ndege,Pesa ya Nauli, Chakula,Hotel na Pesa ya kujikimu kwa watu wote watatu watakaomsindikiza akiwemo Mke wake na Mkuu wa kitengo cha Urolojia Hospital ya Taifa Muhimbili.
RC Makonda amesema uamuzi wa kumpeleka Nchini India ni baada ya Jopo la madaktari bingwa wa Muhimbili kuridhia na kumtafutia Hospital ya kimataifa nchini India yenye uwezo wa kutibu tatizo hilo.
Aidha RC Makonda amewashukuru watanzania wote waliochangia na kufanikisha safari hiyo na kuwaomba wazidi kuwa na moyo huohuo wa kusaidiana kwenye matatizo.
Kwa upande wake Pascal Cassian amemshukuru RC Makonda kwa kuona maumivu aliyokuwa akiyapata na kuamua kumsaidia ambapo ameeleza kuwa anaamini atarejea nchini akiwa amepona kwa uweza wa Mungu.
Itakumbukwa RC Makonda aliamua kumsaidi Pascal kwa kumtoa Nyumbani na hospital baada ya kuona kupitia mitandao ya kijamii maumivu aliyokuwa akiyapata baada ya kupata ajali iliyopelekea tatizo kubwa la kwenye mfumo wa figo.
#Upendo #Utayari #Uwajibikaji #Ushirikishaji View attachment 1049163
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa hawapendi hiyo misaada mnayopewa na kupokea inamaani gani?Paul Makonda ni kiongozi mzuri sana, mwenye utu sana, anayesaidia sana jamii kwa kutoa misaada ya hali na mali kwa wahitaji.
Mabeberu ni watu wabaya sana, hawawapendi watu wa aina hii ya Makonda wanao jituma, kuchaoa kazi na kusaidia jamii, hivyo wamemuumbia zengwe kwa kumnyima viza ya kuingia Marekani.
Watanzania wazalendo tusikubali ubeberu huu wa Marekani, kwanza tuwasusie, hatutaki viza zao, kwani kwenda Marekani ndio nini?, tutakwenda kwingine kote tena kuna mahali ni kuzuri kuliko Marekani.
P
Ukiacha ujinga utaheshimika sana.American does not have clean hands to point us. Tanzania ndio nchi pekee Afrika inayo heshimu na kulinda haki za binaadaam isipo kuwa Ushoga hatuto ukubali kabisaaa,
Marekani isiichokonoe Tanzania kwa maslahi yake binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app