jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
waropokaji wengi wapo mjengoni...sijawahi sikia afisa wa jiji kuropokaNi wazo zuri sana kutoka kwa Mh Makonda. Lakini naona angeanza kwenye ofisi zake kwanza!
waropokaji wengi wapo mjengoni...sijawahi sikia afisa wa jiji kuropokaNi wazo zuri sana kutoka kwa Mh Makonda. Lakini naona angeanza kwenye ofisi zake kwanza!
Povu La Sabuni Ya MBUNI.Povu la nini tena?
waropokaji wengi wapo mjengoni...sijawahi sikia afisa wa jiji kuropoka
Furaha kuona habari hizi za Kiongozi jembe, siku hizo nilikuwa bado sijawa fan wake mkubwa.