RC Makonda amejianika, si wa kuaminiwa tena

RC Makonda amejianika, si wa kuaminiwa tena

Ila nakusifu kwa ROHO NGUMU na MAKONDA HOYEE yako toka sakata lianze.... YAANI HUJAKATA TAMAA, HATA KAMA UNACHOTETEA NI UJINGA PAMOJA NA UKWELI WOTE ULIOWEKWA HADHARANI BADO UMENG'ANG'ANA na HOYEE yako......


Lazima atakuwa mchepuko wake
 
Kati ya 100% ukikuta 80% wanapigia kelele kitu,ukiwa kama muumini wa maandiko matakatifu yakupasa kujua kuwa kunajambo haliko sawa!!!
20% inajitahidi kupaka rangi nyeupe lakini jengo limeshajaa 80% ya nyeusi.
Ni wakati wa mwenye Tanzania yake kukubari kuwa hiyo ni nyeusi.....
Teteeni mnavyoweza lakini si wakati wa mabavu huu ni wakati wa hoja....
kelele za watanzania zisikilizwe...hizi si kelele za wauza madawa kama tunavyodanganywa....Clouds wanauza madawa?
Mkuu siku hiyo alikuwa kamanda wa polisi akiongoza kikosi chake kwenda kuwakamata wauza madawa wa clouds...huu uongo ni too shallow.....

Mh raisi utajitahidi kumbeba lakini nakushauri mwache abebe mzigo wake mwenyewe, kwa sasa hivi habebeki...
 
Ila nakusifu kwa ROHO NGUMU na MAKONDA HOYEE yako toka sakata lianze.... YAANI HUJAKATA TAMAA, HATA KAMA UNACHOTETEA NI UJINGA PAMOJA NA UKWELI WOTE ULIOWEKWA HADHARANI BADO UMENG'ANG'ANA na HOYEE yako......
Nami nakuunga mkono mkuu
 
Wauza madawa watahaha Sana Watalia vilio vyote. Makonda yupo sahihi sana na ni chaguo la MUNGU. Na MUNGU KASEMA mamlaka iheshimiwe hasa awamu hii isiyo angalia brand wala Jina
 
Vipi mzee ulisema nkitoka kumchagua lisu kuna mkakati mmeanda wa kumtoa makonda sasa mbona hapa kama umepigwa ganzi na kulia kwa uchungu?
Fools will never understand the strategies of the learned people
 
Hata wale wadada wa mjini aliowatongoza wakamkatalia nao aliwabambikia kuwa wanahusika na madawa ya kulevya.

Daud hafai ila anabebwa tu.
Nadhani ni misifa tu kwa sababu huo uwezo wa kuwashughulikia hana.Sijui alitaka kuwafanyaje
 
Nina mashaka, makonda ukute ni Jambazi sugu.

Maana yule aliyetobolewa macho alikuwa Kibaka sugu na akamfadhili kwa nyenzo zote za kufanyia siyo tena ukibaka bali ujambazi
 
Ila nakusifu kwa ROHO NGUMU na MAKONDA HOYEE yako toka sakata lianze.... YAANI HUJAKATA TAMAA, HATA KAMA UNACHOTETEA NI UJINGA PAMOJA NA UKWELI WOTE ULIOWEKWA HADHARANI BADO UMENG'ANG'ANA na HOYEE yako......

Pesa za GSM lazima afanye kumbuka ataswekwa ndani miezi sita bila kufikishwa mahakamani,Lema style
 
..bashite lilikuwa linwataka watu liliowataja wauza unga wakaripoti mara moja polisi...lenyewe limeitwa kila mahali haliendi...limeishia kukimbia hata kamati iliyoundwa na serikali....sasa kazi anayo boss wake....
 
Sema ww mzee tupatupa mm nikisema nambiwa cna id,comments zangu haziendi cjui nimefungiwa kwa amri ya bashite au ni mitandao tu !
 
Hayo maneno yanaweza kuwa kweli au sio kweli, bali yameweka ili kuleta uzito wa hoja.

Kumbuka, Nape alilaani ilo tukio kama hajaunda tume, pia tume yenyewe ilikua na watu wa media watupu, sasa ulitegemea nini?
Ulitaka kamati wawekwe wahasibu au wahandisi kukokotoa hesabu za pesa na umbali upi pajengwe?.hiyo tume ilijitosheleza kwani mtuhumiwa mwenyewe alikimbia kupitia mlango wa nyuma asiojiwe jinsi gani asivyo jiamini mwenyewe.weka hoja toa maneno
 
Makonda is in the pipeline. Days to count

Mzee Tupatupa
 
RC Makonda amejianika katika rangi yake halisi. Haaminiki tena na sanaa yake ambayo bado hajaimudu vyema.

Mwafaaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam


Ngoja tuone wale wazee wa ndiyooooooooo pale mjengoni na waka kama wataweza kuvuka hii kizingiti DAB a.k.a mtoto wa Baba mwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom